Acts 1:5

5 aYahya aliwabatiza kwa maji, lakini baada ya siku chache mtabatizwa kwa Roho Mtakatifu.”

Isa Apaa Mbinguni

(Marko 16:19-20; Luka 24:50-53)

Copyright information for SwhKC